• Mgeni Rasmi Dk. Hamisi Mwinyimvua Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha akisaini kitabu cha wageni kwenye Mahafali ya 6 PSPTB 
 • Mgeni Rasmi, Mwenyekiti wa Bodi, Mkurugenzi Mtendaj wakiongoza msafala kuelekea jukwaa kuu siku ya mahafali ya 6 PSPTB tarehe 3/10/2015 
 • Mwenyekiti wa Bodi Sr. Dk. Hellen Bandiho akitamka maneno ya ufunguzi rasmi wa mahafali ya 6 
 • Bras band ya Magereza Ukonga ikitumbuiza siku ya mahafali ya 6 ya PSPTB tarehe 3/10/2015 
 • Mkurugenzi Mtendaji Dk. C.P. Tesha akimkaribisha Mwenyekiti wa Bodi Sr. Dk. Hellen Bandiho aweze kufungua rasmi mahafali ya 6 ya PSPTB 
 • Mwenyekiti wa Bodi akimkaribishi Mgeni Rasmi aweze kuzindua Mtaala Mpya unaotegewa kuanza kufundishwa Jan. 2016 na kutahiniwa Nov. 2016 
 • Mkurugenzi Mtendaji akisoma hotuba siku ya mahafali ya 6 ya PSPTB tarehe 3/10/2015 
 • Mgeni Rasmi Dk. Hamisi Mwinyimvua Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha akisoma hotuba kwa niaba ya Mh. Saada S. Mkuya Waziri wa Fedha ambaye ndie aliyekuwa Mgani Rasmi kwenye Mahafali ya 6 PSPTB 
 • Mwenyekiti wa Bodi Sr. Dk. Hellen Bandiho akisoma hotuba siku ya mahafali ya 6 ya PSPTB tarehe 3/10/2015 
 • Mgeni Rasmi akizindua Mtaala mpya unaotegewa kuanza kufundishwa Jan 2016 na kutahinitwa Nov. 2016 
 • Dk Frederick Mwakibinga ambaye ni Mjumbe wa Bodi na Mwenyekiti wa Kamati ya Ukaguzi akitoa neno la shukrani kwa Mgeni Rasmi 
 • Mgeni Rasmi akionesha Mtaala mpya aliozindua unaotegewa kuanza kufundishwa Jan 2016 na kutahinitwa Nov. 2016 
 • Mwanasheria wa Taasisi Ndg. S. Mnzava akiwaongoza wahitimu kutoa kiapo cha maadili ya taaluma walioipata 
 • Baadhi ya wahitimu wa CPSP wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni Rasmi 
 • Baadhi ya wahitimu wa CPSP  
 • Baadhi ya wafanyakazi wa PSPTB wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni Rasmi siku ya Mahafali ya 6 tarehe 3/10/2015 
 • Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni Rasmi siku ya Mahafali ya 6 tarehe 3/10/2015 
 • Baadhi ya wahitimu wa wa cheti cha msingi wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni Rasmi 

PSBTB is the official board that offers a variety of Procurement and Supply professional certification. Get recognized, get noticed, Join PSBTB today!

view all news

Welcome to PSPTB website

Procurement and Supplies Professionals and Technicians Board (PSPTB) established in 2007 by Parliamentary Act No. 23 is the successor of both the National Board for Materials Management (NBMM) founded in 1981 by Parliamentary Act No.9, and Materials Management Caretaker Committee (MMCC). MMCC founded in 1978 laid down foundation for professionalism which later gave rise to the birth of NBMM.

Vision

To be become the center of excellence in Procurement and Supplies Management.

Mission

To promote and develop the profession by imparting the members with knowledge and skills necessary for effective and ethical management of procurement and supplies functions through training, research and professional services.

Message from CEO

 

PSPTB is an organization that has undergone significant transformation in recent years. I hope you find that our website conveys our core values of Integrity, Impartiality,Accountability and Professionalism

Hopefully our website will answer the questions which have brought you here. If you need additional support, please do not hesitate to click the "Contact Us" link at the top of the page and reach out to us however most convenient for you.