MAANDALIZI YA MITIHANI YA 20 YA BODI

  • Event Date: Jun 01, 2020 - Jun 30, 2020
  • Time: I MONTH
  • Location: COUNTRY WIDE

KATIKA KUFANIKISHA MAANDALIZI YA MITIHANI YA 20 YA BODI, PSPTB IMEVIAGIZA VITUO VYOTE ILIVYOVISAJILI KUFUNGU RASMI KUANZIA MAFUNZO HAYO KUANZIA TAREHE 1 JUNI , 2020 ILI KUSAIDIA WANAFUNZI KUFANYA MAANDALIZI YAO VIZURI.

SAMBAMBA NA HILO, PSPTB IMEONGEZA MUDA WA MAOMBI YA USAJILI KWA NJIA YA MTANDAO KWAJILI YA MITIHANI YA 20 YA BODI KUANZIA TAREHE 1 JUNI HADI 30 JUNI 2020.