USAJILI WA MITIHANI YA 26 YA BODI YA MEI, 2023.

  • Tarehe ya Tukio: Jan 17, 2023 - Apr 21, 2023
  • Muda: 4 MONTHS
  • Mahali: COUNTRY WIDE

WAOMBAJI WENYE SIFA KWA AJILI YA MITIHANI YA MEI, 2023:

(1) Wahitimu wote waliomaliza vyuo vya Elimu ya Juu na Kati kwa ngazi za shahada, stashahada na astashahada ya Ununuzi na Ugavi kwa kipindi cha kuanzia mwaka 2022 kurudi nyuma ambao hawakuwahi kufanya mitihani ya kitaaluma ya PSPTB.

(2) Wadau wote wanaofanya kazi za Ununuzi na Ugavi wasiokuwa na cheti cha CPSP.

(3) Wahitimu wenye taaluma nyingine nje ya Ununuzi na Ugavi kwa ngazi za stashahada, shahada au sifa za kitaaluma kutoka Bodi ya taaluma husika.


NB: Kwa taarifa zaidi tafadhali bonyeza link hapa chini

USAJILI WA MITIHANI YA 26 YA BODI YA MEI , 2023.