KUAHIRISHWA KWA WARSHA YA ZANZIBAR YA TAREHE 5-6 SEPTEMBA, 2023.

  • Tarehe ya Tukio: Sep 26, 2023 - Sep 27, 2023
  • Muda: 2 DAYS
  • Mahali: ZANZIBAR

Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) inawatangazia kuwa warsha iliyokuwa ifanyike Zanzibar kuanzia tarehe 5 – 6 Septemba, 2023 imeahirishwa mpaka tarehe 26 – 27 Septemba, 2023. Mabadiliko hayo yamefanyika kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika

Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

KUAHIRISHWA KWA WARSHA YA ZANZIBAR YA TAREHE 5-6 SEPTEMBA, 2023