MAHAFALI YA 12 YA WAHITIMU WA MITIHANI YA KITAALUMA YA PSPTB
- Tarehe ya Tukio: Oct 21, 2023 - Oct 21, 2023
- Muda: 1 DAY
- Mahali: JNICC - DAR ES SALAAM
Mahafali yatafanyika tarehe 21 Oktoba, 2023.
WAHUSIKA :Wahitimu wa cheti cha Awali, cheti cha Msingi na Shahada ya juu ya taaluma ya Ununuzi na Ugavi kwa mitihani ya Novemba, 2022 na Mei 2023.
MAHAFALI YA 12 YA WAHITIMU WA MITIHANI YA KITAALUMA YA PSPTB