JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi

Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Kwa mwanachama aliyesajiliwa kupitia akaunti yao ya ORS, na wanachama ambao hawajasajiliwa kupitia https://registration.psptb.go.tz/

Mwanachama aliyesajiliwa anapaswa kulipa ada yake ya kila mwaka kwa kuingia kwenye akaunti yake.

Cheti cha usajili kinapatikana katika ofisi zetu za Dodoma. Hakikisha kuwa umelipa ada yako ya uanachama ya mwaka wa fedha husika.

Kwa waliopo nje ya Dodoma wanaweza kuomba kutumiwa kwa njia ya EMS. Utaratibu unaokuhitaji kujaza fomu na kulipia gharama ya 25,000/= ya kutumiwa ( Soma zaidi

Ratiba ya mafunzo inapatikana hapa CPD Traning Program Schedule Book Revised

Waombaji wanapaswa kusoma na kufuata vigezo vya usajili na vivutio vya usajili kwa makundi yote yanayopatikana kwenye tovuti ya usajili ya PSPTB:  https://registration.psptb.go.tz/