Habari


 • Sep 26, 2023

  THE TWO DAYS WORKSHOP IN PROCUREMENT GOVERNANCE ON LEGAL FRAMEWORK MWANZA REGION FROM 4TH TO 5TH OCTOBER, 2023.

  Workshop Contents (a) Overview of procurement governance (b) Legal framework governing Procurement procedures (c) Responsibilities of key players in procurement processes (d) Emerging issues in procurement governance

  Soma zaidi

 • Sep 13, 2023

  KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA USAJILI WA MITIHANI YA 27 YA PSPTB.

  NB. Watahiniwa wanaorudia mtihani zaidi ya ngazi moja wanaruhusiwa kuunganisha ngazi mbili zinazofuatana katika bloc moja kwa masomo kuanzia mawili hadi Sita tu, na kwa kuzingatia ratiba ya mitihani ya 27 ya PSPTB .

  Soma zaidi

 • Sep 11, 2023

  THE 14TH PROCUREMENT AND SUPPLY PROFESSIONALS ANNUL CONFERENCE.

  This Annual conference will be held in AICC-Arusha from 12th to 14th December, 2023.

  Soma zaidi

 • Sep 8, 2023

  MAHAFALI YA 12 YA WAHITIMU WA MITIHANI YA KITAALUMA YA PSPTB

  Mahafali yatafanyika tarehe 21 Oktoba, 2023. Wahusika ni Wahitimu wa cheti cha Awali, cheti cha Msingi na Shahada ya juu ya taaluma ya Ununuzi na Ugavi kwa mitihani ya Novemba, 2022 na Mei 2023.

  Soma zaidi

 • Sep 4, 2023

  KUAHIRISHWA KWA WARSHA YA ZANZIBAR YA TAREHE 5-6 SEPTEMBA, 2023.

  Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) inawatangazia kuwa warsha iliyokuwa ifanyike Zanzibar kuanzia tarehe 5 – 6 Septemba, 2023 imeahirishwa mpaka tarehe 26 – 27 Septemba, 2023. Mabadiliko hayo yamefanyika kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

  Soma zaidi

 • Aug 28, 2023

  CALL FOR PAPERS

  The 14th Procurement and Supply Professionals Annual Conference to be held from 12th to 14th December, 2023.

  Soma zaidi

 • Jul 24, 2023

  PROCUREMENT CONTRACT MANAGEMENT FOR WORKS AND CONSULTANCY SERVICES: RISKS AND MITIGATION STRATEGIES.

  The five days workshop will be held in Dodoma from 28th Aug to 1st Sept, 2023 with the total of 40 CPD hours.

  Soma zaidi

 • Jul 7, 2023

  ORODHA MPYA YA WATAALAM WENYE MADENI YA ADA YA MWAKA KUAZIA 2012 - 2022

  Jumuisho la orodha ya majina ya wataalam wanaodaiwa ada ya mwaka kuanzia mwaka 2012 hadi 2022.

  Soma zaidi