JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi

TAARIFA KWA UMMA - USAJILI WA MITIHANI YA 34 YA PSPTB
14 Sep, 2026

USAJILI WA MITIHANI YA 34 YA PSPTB

 

NB. Watahiniwa wanaorudia mitihani zaidi ya ngazi moja wanaruhusiwa kuunganisha ngazi mbili zinazofuatana (two consecutive blocs) kwa masomo kuanzia mawili hadi sita tu, na kwa kuzingatia
ratiba ya mitihani ya 34 ya PSPTB. Hivyo, waombaji wote wanaotarajia kufanya mitihani yao wanashauriwa kuangalia ratiba ya mitihani tajwa kabla ya kuomba kufanya mitihani hiyo.

Kwa maelekezo au ufafanuzi zaidi tafadhali piga simu namba 0738441972 au tuma barua pepe kupitia examinations@psptb.go.tz.

slot gacor