USAJILI WA MITIHANI YA 30 YA PSPTB
Posted on: Jan 23, 2025
NB. Watahiniwa wanaorudia mitihani zaidi ya ngazi moja wanaruhusiwa kuunganisha ngazi mbili zinazofuatana (Two Consecutive Blocs) kwa masomo kuanzia mawili hadi sita tu, na kwa kuzingatia ratiba ya mitihani ya 30 ya PSPTB. Hivyo, waombaji wote wanashauriwa kuangalia ratiba ya mitihani kabla ya kuomba kufanya mitihani hiyo.