"Warsha ya Siku Tano Kuhusu Uendeshaji na Taratibu za Ghala kwa Mtazamo wa Sekta ya Umma na Binafsi."

Posted on: Oct 13, 2025
"Warsha ya Siku Tano Kuhusu Uendeshaji na Taratibu za Ghala kwa Mtazamo wa Sekta ya Umma na Binafsi."

  • Shughuli za Msingi katika Ghala au Hifadhi
  • Uhasibu wa Ghala, Uhakiki na Ukaguzi wa Mali (Stocktaking)
  • Eneo na Mpangilio wa Ghala
  • Hatua za Usalama na Ulinzi katika Uendeshaji wa Ghala
  • Matumizi ya Mifumo ya Kielektroniki (E-System) katika Uendeshaji wa Ghala
  • Changamoto na Mikakati ya Kukabiliana Nazo katika Usimamizi wa Ghala
  • Kanuni za Maadili na Mwenendo (Code of Ethics and Conduct)