Utafiti
Bodi huendesha warsha za Tafiti mara mbili kwa mwaka kwa walengwa wafuatao;
WALENGWA:
- Watahaniwa wote waliofaulu mitihani ya ngazi ya tano ya PSPTB
- Watahiniwa wote wa Mitihani ya Novemba 2019 wanaosubiri matokeo yao
- Wanafunzi wa Vyuo Vikuu, Wahadhiri, Wahadhiri Wasaidizi na Wakufunzi mbalimbali
- Watafiti kutoka Asasi mbalimbali na Taasisi za Mafunzo
- Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi
Na wadau wengine
MALENGO NA FAIDA:
- Kupata ujuzi wa kufanya Tafiti za Kibiashara
- Kuandaa andiko la Utafiti na baadaye ripoti ya Utafiti
- Kujengewa weledi wa kukusanya taarifa, kuchakata taarifa, majadiliano na kutafsiri matokeo ya tafiti
- Kujengewa uwezo wa kuandika ripoti za Tafiti na kujieleza
- Kupewa cheti cha mahudhurio
HABARI MPYA
RESEARCH MOTHODOLOGY TRAINING FROM 20TH TO 24TH FEBRUARY, 2023.