Kongamano la Wataalamu

Katika wiki ya kwanza ya mwezi Desemba kila mwaka wataalamu wa ununuzi na ugavi kutoka nyanja mbali mbali za kiuchumi hukutana katika kongamano ili kuwapa wasaa wa kubadilishana uzoefu wa ndani na nje ya nchi. Maazimio yatolewayo wakati wa kongamano hili huwafikia watunga sera na serikali kwa ujumla pamoja na Bodi. Hii huwasaidia wataalamu kukuza wigo wa taaluma yao na kujiwekea mikakati endelevu ya miaka ijayo.


Kushiriki, bofya hapa https://registration.psptb.go.tz/


For Invitation letter please click link below

Invitation Letter - Annual Conference 2022