TAARIFA KWA UMMA
Posted on: May 27, 2025
Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) inautaarifu umma kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua CSP Jacob Jail Kibona kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya PSPTB kwa kipindi cha pili.